Saturday, August 23, 2014


JAMES MWALUBALILE
MMILIKI WA MICROFINANCEFTL.BLOGSPOT.COM

FORUM hii Imefunguliwa kwa ajili ya kuileta hii sekta ya mikopo midogo na mikopo ya wakopaji wa kati kwa ajili ya wajasiliamali wadogo na wakati (SMALL AND MEDIUM ENTREPRENUERS-SME) pamoja na wamiliki wa Taasisi za fedha kuwaleta pamoja na kuwapa uwanja-Forum ya pamoja ya kubadilishana uzoefu wa mikopo.

2.Kuelimisha Umma kuhusu Taasisi Hizi ndogo za fedha,kutoa habari zihusuzo taasisi hizi,kuzipa nafasi ya kujitangaza,kushauri na kutoa mafunzo kwa Taasisi hizi na uendeshaji wake na uanzilishi.

3.Namna ya kupata Misingi (Capital) ya kuanzisha biashara hii na nyingine kuunganisha wawekezaji ndani na nje ya nchi katika sekta hii ya mikopo..

4.Hivyo basi mmiliki wa Forum hii anakaribisha wawekezaji,wamiliki wa Taasisi za fedha (Microfinance na Banks) na wale wote wenye shauku ya kufanikiwa katika sekta hii kushiriki kikamilifu katika kutoa mawazo ushauri na kujitangaza kupitia uwanja huu ikiwa pamoja nakukutana na wataalamu katika sekta hii ili kuweza kupata mafanikio makuu katika biashara hii.nakaribisha sana wataalamu wa microfinance tushirikiane ili kuweza kuipa Tanzania Microfinance bora zenye tija kwa wajasiliamali,wamiliki na Taifa letu.

KWA MAWASILIANO PIGA AU TEXT 0713340559/ AU EMAIL microfinanceftl.blogspot.com au jemutwinb@yahoo.com au twitter-James mwalubalile au niangalie fb James Mwalubalile

No comments: